Yohane 19:33-34
Yohane 19:33-34 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini walipomfikia Yesu, waliona kwamba alikwisha kufa, kwa hivyo hawakumvunja miguu. Lakini askari mmoja alimtoboa ubavuni kwa mkuki, na mara ikatoka damu na maji. (
Shirikisha
Soma Yohane 19Yohane 19:33-34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini walipomjia Yesu na kuona ya kuwa amekwisha kufa, hawakumvunja miguu; lakini askari mmojawapo alimchoma ubavu kwa mkuki; na mara ikatoka damu na maji.
Shirikisha
Soma Yohane 19