Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 19:33-34

Yohana 19:33-34 NEN

Lakini walipomkaribia Yesu, wakaona ya kuwa amekwisha kufa, hivyo hawakuvunja miguu yake. Badala yake mmoja wa wale askari akamchoma mkuki ubavuni na mara pakatoka damu na maji.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Yohana 19:33-34