Yohane 14:17-18
Yohane 14:17-18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
ndiye Roho wa kweli; ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa kuwa haumwoni wala haumtambui; bali ninyi mnamtambua, maana anakaa kwenu, naye atakuwa ndani yenu. Sitawaacha ninyi yatima; naja kwenu.
Shirikisha
Soma Yohane 14Yohane 14:17-18 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Huyo ndiye Roho wa kweli ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa sababu haumwoni wala haumjui. Ninyi mnamjua kwa kuwa yuko pamoja nanyi naye anakaa ndani yenu. Sitawaacha ninyi yatima, naja kwenu.
Shirikisha
Soma Yohane 14