Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yohana 14:17-18

Yohana 14:17-18 NENO

Huyo ndiye Roho wa kweli ambaye ulimwengu hauwezi kumpokea, kwa sababu haumwoni wala haumjui. Ninyi mnamjua kwa kuwa yuko pamoja nanyi, naye anakaa ndani yenu. Sitawaacha ninyi yatima; nitakuja kwenu.