Yeremia 9:23
Yeremia 9:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Mwenye hekima asijivunie nguvu zake, wala tajiri asijivunie utajiri wake.
Shirikisha
Soma Yeremia 9Yeremia 9:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA asema hivi, Mwenye hekima asijisifu kwa sababu ya hekima yake, wala mwenye nguvu asijisifu kwa sababu ya nguvu zake, wala tajiri asijisifu kwa sababu ya utajiri wake
Shirikisha
Soma Yeremia 9