Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yer 9:23

Yer 9:23 SUV

BWANA asema hivi, Mwenye hekima asijisifu kwa sababu ya hekima yake, wala mwenye nguvu asijisifu kwa sababu ya nguvu zake, wala tajiri asijisifu kwa sababu ya utajiri wake