Yeremia 31:22
Yeremia 31:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Utasitasita mpaka lini ewe binti usiye mwaminifu? Maana, mimi nimefanya kitu kipya duniani: Mwanamke amtafuta mwanamume.”
Shirikisha
Soma Yeremia 31Yeremia 31:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Utatangatanga hadi lini, Ee binti mwenye kuasi? Kwa maana BWANA ameumba jambo jipya duniani; mwanamke atamlinda mwanamume.
Shirikisha
Soma Yeremia 31