Yeremia 11:8
Yeremia 11:8 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lakini hawakutii, wala kutega masikio yao, bali walikwenda kila mtu katika ushupavu wa moyo wake mbaya; kwa hiyo nimeleta juu yao maneno yote ya maagano haya, niliyowaamuru wayafanye; lakini hawakuyafanya.
Shirikisha
Soma Yeremia 11Yeremia 11:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini wao hawakunitii, wala hawakunisikiliza. Badala yake, kila mmoja wao alizidi kuwa mkaidi na mwovu. Basi, niliwaadhibu kulingana na masharti ya agano hili nililowaamuru walishike, lakini hao wakakataa kulishika.”
Shirikisha
Soma Yeremia 11