Waamuzi 7:18
Waamuzi 7:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nitakapopiga tarumbeta, mimi na wote walio pamoja nami, basi ninyi nanyi zipigeni tarumbeta pande zote za kambi, mkaseme, Kwa BWANA, na kwa Gideoni.
Shirikisha
Soma Waamuzi 7Waamuzi 7:18 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wakati mimi na wale walio pamoja nami wote, tutakapopiga tarumbeta zetu, ninyi nanyi pigeni tarumbeta pande zote za kambi na mpige kelele, mseme, ‘Upanga wa BWANA na wa Gideoni.’ ”
Shirikisha
Soma Waamuzi 7