Waamuzi 5:6
Waamuzi 5:6 Biblia Habari Njema (BHN)
“Katika siku za Shamgari, mwana wa Anathi, katika wakati wa Yaeli, misafara ilikoma kupita nchini, wasafiri walipitia vichochoroni.
Shirikisha
Soma Waamuzi 5Waamuzi 5:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika siku za Shamgari, mwana wa Anathi, Siku za Yaeli, njia kuu zilikuwa hazina watu; Nayo misafara ilipita kwa njia za kando.
Shirikisha
Soma Waamuzi 5