Waamuzi 5:31
Waamuzi 5:31 Biblia Habari Njema (BHN)
“Ee Mwenyezi-Mungu, waangamie adui zako wote! Lakini rafiki zako na wawe kama jua, wakati linapochomoza kwa mwanga mkubwa!” Nayo nchi ikawa na amani kwa muda wa miaka arubaini.
Shirikisha
Soma Waamuzi 5Waamuzi 5:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na waangamie vivyo hivyo adui zako wote, Ee BWANA. Bali wao wampendao na wawe kama jua hapo litokapo kwa nguvu zake. Nayo nchi ikastarehe miaka arubaini.
Shirikisha
Soma Waamuzi 5