Yakobo 5:8-9
Yakobo 5:8-9 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ninyi nanyi vumilieni, tena simameni imara, kwa sababu kuja kwa Bwana kumekaribia. Ndugu zangu, msinungʼunikiane msije mkahukumiwa. Hakimu amesimama mlangoni!
Shirikisha
Soma Yakobo 5Yakobo 5:8-9 Biblia Habari Njema (BHN)
Nanyi pia mnapaswa kuwa na subira; imarisheni mioyo yenu, maana siku ya kuja kwake Bwana inakaribia. Ndugu zangu, msinung'unikiane nyinyi kwa nyinyi msije mkahukumiwa na Mungu. Hakimu yu karibu, tayari kuingia.
Shirikisha
Soma Yakobo 5