Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Yakobo 5:8-9

Yakobo 5:8-9 SRUV

Nanyi vumilieni, mthibitishe mioyo yenu, kwa maana kuja kwake Bwana kunakaribia. Ndugu, msinung'unikiane, msije mkahukumiwa. Angalieni, mwamuzi amesimama mbele ya milango.

Soma Yakobo 5