Isaya 63:9
Isaya 63:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika taabu zao zote, hakumtuma mjumbe mwingine kuwasaidia, ila yeye mwenyewe alikuja kuwaokoa. kwa upendo na huruma yake aliwakomboa. Aliwabeba na kuwachukua tangu zamani.
Shirikisha
Soma Isaya 63Isaya 63:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika mateso yao yote yeye aliteswa, na malaika wa uso wake akawaokoa; kwa mapenzi yake, na huruma zake, aliwakomboa mwenyewe; akawainua, akawachukua siku zote za kale.
Shirikisha
Soma Isaya 63