Isaya 61:4
Isaya 61:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Watayajenga upya magofu ya zamani, wataisimika miji iliyoharibiwa hapo kwanza; wataitengeneza miji iliyobomolewa, uharibifu wa vizazi vingi vilivyopita.
Shirikisha
Soma Isaya 61Isaya 61:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao watajenga mahali pa kale palipoharibiwa, watapainua mahali palipokuwa ukiwa zamani, watatengeneza miji iliyoharibiwa, mahali palipoachwa kizazi baada ya kizazi.
Shirikisha
Soma Isaya 61