Isaya 55:8
Isaya 55:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, Mwenyezi-Mungu asema hivi: “Mawazo yangu si kama mawazo yenu, wala njia zangu si kama njia zenu.
Shirikisha
Soma Isaya 55Isaya 55:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu; asema BWANA.
Shirikisha
Soma Isaya 55