Isaya 55:3
Isaya 55:3 Biblia Habari Njema (BHN)
“Tegeni sikio enyi watu wangu, mje kwangu; nisikilizeni, ili mpate kuishi. Nami nitafanya nanyi agano la milele; nitawapeni fadhili nilizomwahidi Daudi.
Shirikisha
Soma Isaya 55Isaya 55:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tegeni masikio yenu, na kunijia; Sikieni, na nafsi zenu zitaishi; Nami nitafanya nanyi agano la milele, Naam, rehema za Daudi zilizo imara.
Shirikisha
Soma Isaya 55