Isaya 53:9
Isaya 53:9 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Wakamfanyia kaburi pamoja na waovu, pamoja na matajiri katika kifo chake, ingawa hakutenda jeuri, wala hapakuwa na hila kinywani mwake.
Shirikisha
Soma Isaya 53Isaya 53:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Walimzika pamoja na wahalifu; katika kifo aliwekwa pamoja na matajiri, ingawa hakutenda ukatili wowote, wala hakusema neno lolote la udanganyifu.
Shirikisha
Soma Isaya 53Isaya 53:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakamfanyia kaburi pamoja na wabaya; Na pamoja na matajiri katika kufa kwake; Ingawa hakutenda jeuri, Wala hapakuwa na hila kinywani mwake.
Shirikisha
Soma Isaya 53