Isaya 53:8
Isaya 53:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Alidhulumiwa, akahukumiwa na kupelekwa kuuawa; na hakuna mtu aliyejali yanayompata. Alifukuzwa kutoka nchi ya walio hai, kwa sababu ya makosa ya watu wangu.
Shirikisha
Soma Isaya 53Isaya 53:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa kuonewa na kuhukumiwa aliondolewa; Na maisha yake ni nani angeyajali? Maana amekatiliwa mbali na nchi ya walio hai; Alipigwa kwa sababu ya makosa ya watu wangu.
Shirikisha
Soma Isaya 53