Isaya 51:16
Isaya 51:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Nimeyaweka maneno yangu mdomoni mwako; nimekuficha katika kivuli cha mkono wangu. Mimi nilizitandaza mbingu, nikaiweka misingi ya dunia. Mimi nawaambieni enyi watu wa Siyoni: ‘Nyinyi ni watu wangu.’”
Shirikisha
Soma Isaya 51Isaya 51:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA wa majeshi ndilo jina lake. Nami nimetia maneno yangu kinywani mwako, nami nimekusitiri katika kivuli cha mkono wangu, ili nizipande mbingu, na kuiweka misingi ya dunia, na kuuambia Sayuni, Ninyi ni watu wangu.
Shirikisha
Soma Isaya 51Isaya 51:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Isaya 51