Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Isa 51:16

Isa 51:16 SUV

BWANA wa majeshi ndilo jina lake. Nami nimetia maneno yangu kinywani mwako, nami nimekusitiri katika kivuli cha mkono wangu, ili nizipande mbingu, na kuiweka misingi ya dunia, na kuuambia Sayuni, Ninyi ni watu wangu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Isa 51:16