Isaya 45:4
Isaya 45:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa ajili ya mtumishi wangu Yakobo, naam, kwa ajili ya mteule wangu Israeli, nimekuita kwa jina lako; nimekupa jina la heshima ingawa wewe hunijui.
Shirikisha
Soma Isaya 45Isaya 45:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa ajili ya Yakobo, mtumishi wangu, na Israeli, mteule wangu, nimekuita kwa jina lako; nimekupa jina la sifa; ijapokuwa hukunijua.
Shirikisha
Soma Isaya 45