Isaya 45:3
Isaya 45:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitakupa hazina zilizofichwa gizani, na mali iliyo mahali pa siri, upate kutambua kwamba mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, ninayekuita kwa jina lako.
Shirikisha
Soma Isaya 45Isaya 45:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nami nitakupa hazina za gizani, na mali zilizofichwa za mahali pa siri, upate kujua ya kuwa mimi ni BWANA, nikuitaye kwa jina lako, naam, Mungu wa Israeli.
Shirikisha
Soma Isaya 45