Isaya 45:23
Isaya 45:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Mimi nimeapa kwa nafsi yangu, ninachotamka ni ukweli, neno langu halitarudi nyuma: Kila binadamu atanipigia magoti, kila mtu ataapa uaminifu.
Shirikisha
Soma Isaya 45Isaya 45:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa nafsi yangu nimeapa, neno hili limetoka kinywani mwangu katika haki, wala halitarudi, ya kwamba mbele zangu kila goti litapigwa, kila ulimi utaapa.
Shirikisha
Soma Isaya 45