Isaya 33:6
Isaya 33:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi watu wa Yerusalemu, Mwenyezi-Mungu atawajalieni usalama, atawaokoa na kuwapa hekima na maarifa. Hazina yenu kuu ni kumcha Mwenyezi-Mungu.
Shirikisha
Soma Isaya 33Isaya 33:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nyakati zako zitakuwa nyakati za kukaa imara; za wokovu tele na hekima na maarifa; kumcha BWANA ni hazina yake ya akiba.
Shirikisha
Soma Isaya 33