Isaya 33:2
Isaya 33:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Ee Mwenyezi-Mungu, utuonee huruma, kwako tumeliweka tumaini letu. Uwe kinga yetu kila siku, wokovu wetu wakati wa taabu.
Shirikisha
Soma Isaya 33Isaya 33:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ee BWANA, uturehemu; tumekungoja wewe; uwe wewe mkono wetu kila asububi, na wokovu wetu pia wakati wa taabu.
Shirikisha
Soma Isaya 33