Isaya 27:6
Isaya 27:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Itakuja siku wazawa wa Yakobo watashika mizizi; naam, watu wa Israeli watachanua na kuchipua, na kuijaza dunia yote kwa matunda.
Shirikisha
Soma Isaya 27Isaya 27:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Siku zijazo Yakobo atatia mizizi; Israeli atatoa maua na kuchipuka; Nao watajaza uso wa ulimwengu matunda.
Shirikisha
Soma Isaya 27