Isaya 25:7
Isaya 25:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Juu ya mlima huu ataharibu sitara ihifadhiyo mataifa yote, kile kifuniko kifunikacho mataifa yote
Shirikisha
Soma Isaya 25Isaya 25:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika mlima huuhuu, Mwenyezi-Mungu ataliondoa wingu la huzuni lililowafunika watu wote, kifuniko cha uchungu juu ya mataifa yote.
Shirikisha
Soma Isaya 25