Isaya 17:3
Isaya 17:3 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Mji wenye ngome utatoweka kutoka Efraimu, nao uweza wa ufalme kutoka Dameski; mabaki ya Aramu yatakuwa kama utukufu wa Waisraeli,” asema BWANA Mwenye Nguvu Zote.
Shirikisha
Soma Isaya 17Isaya 17:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Ngome za kujihami za Efraimu zitatoweka, na utawala wa Damasko utakwisha. Waashuru ambao watabaki hai, watakuwa na fedheha kama wazawa wa Israeli. Mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi nimenena.
Shirikisha
Soma Isaya 17