Isaya 14:24
Isaya 14:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu wa majeshi ameapa: “Kama nilivyopanga, ndivyo itakavyokuwa; kama nilivyokusudia, ndivyo itakavyokamilika.
Shirikisha
Soma Isaya 14Isaya 14:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA wa majeshi ameapa, akisema, Hakika yangu kama vile vilivyoazimia, ndivyo itakavyokuwa; na kama nilivyokusudia, ndivyo itakavyotokea
Shirikisha
Soma Isaya 14