Isaya 14:13
Isaya 14:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Wewe ulijisemea moyoni mwako: ‘Nitapanda mpaka mbinguni; nitaweka kiti changu juu ya nyota za Mungu, nitaketi juu ya mlima wakutanapo miungu, huko mbali pande za kaskazini.
Shirikisha
Soma Isaya 14Isaya 14:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nawe ulisema moyoni mwako, Nitapanda mpaka mbinguni, Nitakiinua kiti changu juu kuliko nyota za Mungu; Nami nitaketi juu ya mlima wa mkutano, Katika pande za mwisho za kaskazini.
Shirikisha
Soma Isaya 14