Waebrania 11:30-31
Waebrania 11:30-31 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa imani kuta za mji wa Yeriko zilianguka watu wa Israeli walipokwisha zunguka kuta hizo kwa siku saba. Kwa imani Rahabu aliyekuwa malaya hakuangamia pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa sababu aliwakaribisha wale wapelelezi.
Shirikisha
Soma Waebrania 11Waebrania 11:30-31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa imani kuta za Yeriko zikaanguka, zilipokwisha kuzungukwa siku saba. Kwa imani Rahabu, yule kahaba, hakuangamia pamoja na hao walioasi; kwa kuwa aliwakaribisha wale wapelelezi kwa amani.
Shirikisha
Soma Waebrania 11