Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Waebrania 11:30-31

Waebrania 11:30-31 NEN

Kwa imani kuta za Yeriko zilianguka, baada ya watu kuzizunguka kwa siku saba. Kwa imani, Rahabu, yule kahaba, hakuangamizwa pamoja na wale waliomwasi Mungu, kwa kuwa aliwakaribisha wale wapelelezi.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Waebrania 11:30-31

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha