Waebrania 10:38
Waebrania 10:38 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini mtu wangu aliye mwadilifu ataamini na kuishi; walakini akirudi nyuma, mimi sitapendezwa naye.”
Shirikisha
Soma Waebrania 10Waebrania 10:38 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mwenye haki wangu ataishi kwa imani; Naye akisitasita, roho yangu haina furaha naye.
Shirikisha
Soma Waebrania 10