Waebrania 10:30
Waebrania 10:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana tunamfahamu yule aliyesema, “Mimi nitalipiza kisasi, mimi nitalipiza,” na ambaye alisema pia, “Bwana atawahukumu watu wake.”
Shirikisha
Soma Waebrania 10Waebrania 10:30 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana twamjua yeye aliyesema, Kupatiliza kisasi ni juu yangu, mimi nitalipa. Na tena, Bwana atawahukumu watu wake.
Shirikisha
Soma Waebrania 10