Waebrania 1:5
Waebrania 1:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana Mungu hakumwambia kamwe hata mmoja wa malaika wake: “Wewe ni Mwanangu; mimi leo nimekuwa Baba yako.” Wala hakusema juu ya malaika yeyote: “Mimi nitakuwa Baba yake, naye atakuwa Mwanangu.”
Shirikisha
Soma Waebrania 1Waebrania 1:5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana ni kwa malaika yeyote yupi Mungu, Ndiwe mwanangu, Mimi leo nimekuzaa? Na tena Mimi nitakuwa kwake baba, Na yeye atakuwa kwangu mwana?
Shirikisha
Soma Waebrania 1