Mwanzo 9:2
Mwanzo 9:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Wanyama wote, ndege wote wa angani, viumbe wote watambaao juu ya nchi na samaki wote wa baharini watakuwa na hofu na kuwaogopa nyinyi. Wote wamewekwa chini ya mamlaka yenu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 9Mwanzo 9:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kila mnyama wa nchi atawaogopa ninyi na kuwahofu, na kila ndege wa angani: pamoja na vitu vyote vilivyojaa katika ardhi, na samaki wote wa baharini; vimetiwa mikononi mwenu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 9