Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 9:2

Mwanzo 9:2 NEN

Wanyama wote wa duniani, ndege wote wa angani, kila kiumbe kitambaacho juu ya ardhi, na samaki wote wa baharini wamekabidhiwa mikononi mwenu, nao watawaogopa na kuwahofu.

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 9:2