Mwanzo 7:1
Mwanzo 7:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Noa, “Ingia ndani ya safina wewe pamoja na jamaa yako yote, kwa maana, kati ya watu wote wanaoishi nyakati hizi zako, nimekuona wewe peke yako kuwa mwadilifu mbele yangu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 7Mwanzo 7:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia Nuhu, Ingia wewe na jamaa yako yote katika safina; kwa maana nimekuona wewe u mwenye haki mbele zangu katika kizazi hiki.
Shirikisha
Soma Mwanzo 7