Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 7:1

Mwanzo 7:1 BHN

Mwenyezi-Mungu akamwambia Noa, “Ingia ndani ya safina wewe pamoja na jamaa yako yote, kwa maana, kati ya watu wote wanaoishi nyakati hizi zako, nimekuona wewe peke yako kuwa mwadilifu mbele yangu.

Soma Mwanzo 7

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Mwanzo 7:1

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha