Mwanzo 49:28
Mwanzo 49:28 Neno: Maandiko Matakatifu 2024 (NENO)
Haya yote ndiyo makabila kumi na mawili ya Israeli, na hivi ndivyo baba yao alivyowaambia alipowabariki, akimpa kila mmoja baraka iliyomfaa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 49Mwanzo 49:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Hayo ndiyo makabila kumi na mawili ya Israeli, na hayo ndiyo maneno aliyowaambia baba yao alipowabariki, kila mmoja wao kama alivyostahili.
Shirikisha
Soma Mwanzo 49Mwanzo 49:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hayo yote ndiyo makabila ya Israeli kumi na mawili. Na hayo ndiyo aliyowaambia baba yao, na kuwabariki; mmoja mmoja kwa baraka zake aliwabariki.
Shirikisha
Soma Mwanzo 49