Mwanzo 37:9
Mwanzo 37:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Yosefu akaota ndoto nyingine, akawasimulia ndugu zake akisema, “Sikilizeni, nimeota ndoto nyingine; nimeona jua, mwezi na nyota kumi na moja vinaniinamia.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaota tena ndoto nyingine, akawaambia ndugu zake, akasema, Angalieni, nimeota ndoto nyingine; na tazama, jua na mwezi na nyota kumi na moja zikaniinamia.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37