Mwanzo 37:8
Mwanzo 37:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu zake wakamwuliza, “Je, unataka kutuambia kwamba utatutawala? Au utakuwa na mamlaka juu yetu?” Basi, wakazidi kumchukia kwa sababu ya ndoto na maneno yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndugu zake wakamwambia, Je! Kweli wewe utatumiliki sisi? Nawe utatutawala sisi? Wakazidi kumchukia kwa ajili ya ndoto yake, na kwa maneno yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37