Mwanzo 37:29
Mwanzo 37:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Reubeni aliporudi kwenye lile shimo, na asimwone Yosefu tena, akazirarua nguo zake kwa huzuni
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akarudi Reubeni birikani, kumbe! Yusufu hayumo katika birika, akararua nguo zake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37