Mwanzo 37:22
Mwanzo 37:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Msimwage damu. Ila mtumbukizeni katika shimo hili hapa mbugani, lakini msimdhuru.” Alisema hivyo kusudi aweze kumwokoa Yosefu mikononi mwao, na baadaye amrudishe kwa baba yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Reubeni akawaambia, Msimwage damu; mtupeni katika shimo hili lililopo nyikani, wala msimguse; ili apate kumwokoa katika mikono yao, akamrudishe kwa baba yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37