Mwanzo 37:20
Mwanzo 37:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Haya, tumuue na kumtupa ndani ya shimo mojawapo. Baadaye tutasema kwamba ameuawa na mnyama wa porini. Halafu tutaona hizo ndoto zake zitakuwaje.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Haya, twende, tukamwue na kumtupa katika shimo mojawapo, nasi tutasema, Mnyama mkali amemla; kisha tutaona zitakuwaje ndoto zake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37