Mwanzo 37:18
Mwanzo 37:18 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wakamwona toka mbali, na kabla hajawakaribia, wakafanya shauri juu yake ili wamwue.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37Mwanzo 37:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndugu zake walipomwona akiwa mbali na kabla hajafika karibu, wakafanya mpango wa kumuua.
Shirikisha
Soma Mwanzo 37