Mwanzo 27:46
Mwanzo 27:46 Biblia Habari Njema (BHN)
Rebeka akamwambia Isaka, “Sina raha kabisa maishani kwa sababu ya hawa wanawake wa Esau Wahiti. Ikiwa Yakobo ataoa mmojawapo wa wanawake hawa Wahiti, maisha yangu yana faida gani?”
Shirikisha
Soma Mwanzo 27Mwanzo 27:46 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Rebeka akamwambia Isaka, Rohoni mwangu sina raha kwa sababu ya hao binti za Hethi. Kama Yakobo akitwaa mke katika binti za Hethi, kama hawa binti za nchi, maisha yangu yatanifaidi nini?
Shirikisha
Soma Mwanzo 27