Mwanzo 27:36
Mwanzo 27:36 Biblia Habari Njema (BHN)
Esau akasema, “Ndio maana anaitwa Yakobo! Amechukua nafasi yangu mara mbili. Kwanza alichukua haki yangu ya mzaliwa wa kwanza, na sasa amechukua baraka Zangu.” Kisha akamwuliza baba yake, “Je, hukunibakizia baraka yoyote?”
Shirikisha
Soma Mwanzo 27Mwanzo 27:36 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akasema, Je! Hakuitwa Yakobo kwa haki, maana amejitia mahali pangu mara mbili hizi? Alichukua haki yangu ya mzaliwa wa kwanza, na sasa ameichukua baraka yangu. Akasema, Je! Hukuniwekea na mimi mbaraka?
Shirikisha
Soma Mwanzo 27