Mwanzo 25:28
Mwanzo 25:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Isaka akampenda Esau kwa sababu alipenda kula mawindo yake, lakini Rebeka akampenda Yakobo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 25Mwanzo 25:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi Isaka akampenda Esau, kwa sababu alikula mawindo yake, na Rebeka akampenda Yakobo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 25